-
Mathayo 20:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 “Tazama! Tunapanda kwenda Yerusalemu, na Mwana wa binadamu atatiwa mikononi mwa wakuu wa makuhani na waandishi. Nao watamhukumia kifo+
-
-
Luka 9:44, 45Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
44 “Sikilizeni kwa makini na mkumbuke maneno haya, kwa maana Mwana wa binadamu atasalitiwa mikononi mwa watu.”+ 45 Lakini hawakuelewa maneno hayo. Kwa kweli, yalifichwa ili wasiyafahamu, nao waliogopa kumuuliza kuhusu maneno hayo.
-