-
Yohana 8:33Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
33 Wakamjibu: “Sisi ni uzao wa Abrahamu na hatujawahi kuwa watumwa wa mtu yeyote. Kwa nini basi unasema tutakuwa huru?”
-
-
Yohana 8:39Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
39 Wakamwambia: “Baba yetu ni Abrahamu.” Yesu akawaambia: “Kama mngekuwa watoto wa Abrahamu,+ mngefanya kazi za Abrahamu.
-