Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 13:39
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 39 na adui aliyepanda magugu ni Ibilisi. Mavuno ni umalizio wa mfumo wa mambo,* na wavunaji ni malaika.

  • Mathayo 28:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • Marko 13:3, 4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 3 Alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni, huku hekalu likiwa linaonekana, Petro, Yakobo, Yohana, na Andrea wakamuuliza faraghani: 4 “Tuambie, mambo haya yatatukia lini, na nini itakayokuwa ishara ya wakati ambapo mambo haya yatafikia mwisho?”+

  • Luka 21:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 Ndipo wakamuuliza: “Mwalimu, kwa kweli mambo haya yatatukia lini, na ni ishara gani itakayoonyesha kwamba mambo haya yanakaribia kutokea?”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki