-
Luka 21:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Ole wao wanawake wenye mimba na wale wanaonyonyesha mtoto katika siku hizo!+ Kwa maana kutakuwa na mateso mengi katika nchi na ghadhabu dhidi ya watu hawa.
-