-
Marko 13:24, 25Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 “Lakini katika siku hizo, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa nuru yake,+ 25 nazo nyota zitakuwa zikianguka kutoka mbinguni na nguvu zilizo katika mbingu zitatikiswa.
-