Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 16:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 Tangu wakati huo, Yesu akaanza kuwafafanulia wanafunzi wake kwamba ni lazima aende Yerusalemu na kuteswa sana na wazee, wakuu wa makuhani, na waandishi, kisha atauawa, na siku ya tatu afufuliwe.+

  • Mathayo 20:18, 19
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 “Tazama! Tunapanda kwenda Yerusalemu, na Mwana wa binadamu atatiwa mikononi mwa wakuu wa makuhani na waandishi. Nao watamhukumia kifo+ 19 na kumtia mikononi mwa watu wa mataifa ili wamdhihaki, wampige mijeledi, na kumuua kwenye mti;+ na siku ya tatu atafufuliwa.”+

  • Mathayo 27:26
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 26 Ndipo akawafungulia Baraba, lakini akaagiza Yesu apigwe mijeledi+ na kumtoa ili auawe kwenye mti.+

  • Marko 15:15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Basi Pilato akitaka kuuridhisha umati, akawafungulia Baraba; akaagiza Yesu apigwe mijeledi,+ kisha akamtoa ili auawe kwenye mti.+

  • Yohana 19:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Kisha akamkabidhi kwao ili auawe kwenye mti.+

      Basi wakamchukua Yesu.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki