Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 14:10, 11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Yuda Iskariote, mmoja wa wale 12, akaenda kwa wakuu wa makuhani ili amsaliti kwao.+ 11 Waliposikia hilo, wakafurahi na kuahidi kumpa fedha.+ Basi akaanza kutafuta nafasi ya kumsaliti.

  • Luka 22:3-6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 3 Ndipo Shetani akamwingia Yuda, aliyeitwa Iskariote, ambaye alikuwa mmoja wa wale 12,+ 4 naye akaenda kuongea na wakuu wa makuhani na makapteni wa hekalu kuhusu jinsi atakavyomsaliti kwao.+ 5 Wakafurahishwa na jambo hilo, nao wakakubaliana kumpa fedha.+ 6 Basi akakubali na kuanza kutafuta nafasi nzuri ya kumsaliti kwao bila umati kuwapo.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki