Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 41:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  9 Hata mtu niliyekuwa na amani naye, ambaye nilimwamini,+

      Aliyekuwa akila mkate wangu, amekiinua kisigino chake dhidi yangu.*+

  • Marko 14:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 Akawaambia: “Ni mmoja kati yenu 12, anayechovya pamoja nami katika bakuli.+

  • Luka 22:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 “Lakini tazameni! mkono wa msaliti wangu uko pamoja nami mezani.+

  • Yohana 13:26
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 26 Yesu akajibu: “Ni yule ambaye nitampa kipande cha mkate ninachochovya.”+ Basi, akachovya kipande cha mkate, kisha akampa Yuda, mwana wa Simoni Iskariote.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki