Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 14:29-31
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 Lakini Petro akamwambia: “Hata wengine wote wakikwazika, mimi sitakwazika.”+ 30 Ndipo Yesu akamwambia: “Kwa kweli ninakuambia kwamba leo, ndiyo, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu.”+ 31 Lakini akaendelea kusisitiza: “Hata nikilazimika kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Pia, wengine wote wakaanza kusema vivyo hivyo.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki