Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 14:37-42
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 37 Aliporudi akawakuta wakiwa wamelala usingizi, akamwuliza Petro: “Simoni, unalala? Hukuwa na nguvu za kukesha hata kwa saa moja?+ 38 Endeleeni kukesha na kusali bila kuacha, ili msiingie katika majaribu.+ Bila shaka, roho inataka,* lakini mwili ni dhaifu.”+ 39 Naye akaenda zake tena, akasali, akirudia maneno yaleyale.+ 40 Akaja tena na kuwakuta wakiwa wamelala usingizi, kwa maana macho yao yalikuwa yamelemewa, nao hawakujua la kumjibu. 41 Akarudi mara ya tatu akawaambia: “Mnalala na kupumzika wakati kama huu! Imetosha! Saa imefika!+ Tazama! Mwana wa binadamu anasalitiwa mikononi mwa watenda dhambi. 42 Simameni twende. Tazama! Msaliti wangu amekaribia.”+

  • Luka 22:45
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 45 Baada ya kusali, akawaendea wanafunzi, akawakuta wakiwa wamelala usingizi, wakiwa wamechoka kwa sababu ya huzuni.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki