Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 14:47
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 47 Hata hivyo, mmoja wa wale waliokuwa wamesimama hapo akauchomoa upanga wake, akampiga mtumwa wa kuhani mkuu na kumkata sikio.+

  • Luka 22:50
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 50 Mmoja wao hata akampiga mtumwa wa kuhani mkuu na kumkata sikio la kulia.+

  • Yohana 18:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Simoni Petro alikuwa na upanga, basi akauchomoa na kumpiga mtumwa wa kuhani mkuu na kumkata sikio la kulia.+ Jina la mtumwa huyo lilikuwa Malko.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki