Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 14:48, 49
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 48 Lakini Yesu akawaambia: “Je, mmekuja kunikamata mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba mimi ni mwizi?+ 49 Siku baada ya siku nilikuwa nanyi nikifundisha hekaluni,+ lakini hamkunikamata. Hata hivyo, ni ili Maandiko yatimizwe.”+

  • Luka 22:52, 53
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 52 Kisha Yesu akawauliza wakuu wa makuhani na makapteni wa hekalu na wazee waliokuja kumkamata: “Je, mmekuja kunikamata mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba mimi ni mwizi?+ 53 Nilipokuwa pamoja nanyi hekaluni siku baada ya siku,+ hamkunikamata.+ Lakini huu ndio wakati wenu na mamlaka ya giza.”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki