Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 14:60-65
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 60 Kisha kuhani mkuu akasimama katikati yao, akamuuliza Yesu: “Kwa nini hujibu? Watu hawa wanashuhudia nini kukuhusu?”+ 61 Lakini akakaa kimya na hakujibu.+ Tena kuhani mkuu akaanza kumuuliza: “Je, wewe ndiye Kristo Mwana wa Yule Mbarikiwa?” 62 Ndipo Yesu akasema: “Mimi ndiye; nanyi mtamwona Mwana wa binadamu+ akiwa ameketi kwenye mkono wa kuume+ wa nguvu, akija pamoja na mawingu ya mbinguni.”+ 63 Ndipo kuhani mkuu akayararua mavazi yake na kusema: “Tunahitaji mashahidi wengine wa nini?+ 64 Mmemsikia akikufuru. Uamuzi wenu ni nini?”* Wote wakaamua kwamba anastahili kufa.+ 65 Wengine wakaanza kumtemea mate,+ wakamfunika uso, wakampiga ngumi na kumwambia: “Toa unabii!” Walinzi wa mahakama wakampiga makofi usoni na kumchukua.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki