-
Mathayo 11:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Kwa kweli ninawaambia, kati ya wale waliozaliwa na wanawake hajatokea mtu mkuu kuliko Yohana Mbatizaji, lakini mtu mdogo zaidi katika Ufalme wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye.+
-
-
Mathayo 21:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ tunaogopa umati, kwa maana wote wanamwona Yohana kuwa nabii.”
-