Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 22:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Basi Mikaya akasema: “Ninawaona Waisraeli wote wakiwa wametawanyika milimani,+ kama kondoo wasio na mchungaji. Yehova akasema: ‘Hawa hawana bwana. Acha kila mmoja wao arudi kwa amani nyumbani kwake.’”

  • Isaya 53:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  6 Sisi sote tumetangatanga kama kondoo,+

      Kila mmoja ameifuata njia yake mwenyewe,

      Na Yehova amefanya dhambi yetu sote ikutane naye.+

  • Ezekieli 34:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Kwa hiyo walitawanyika kwa sababu hakukuwa na mchungaji;+ walitawanyika na kuwa chakula cha kila mnyama wa mwituni.

  • Ezekieli 34:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 ‘“Kwa hakika kama ninavyoishi,” asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova, “kwa sababu kondoo wangu wamekuwa windo, chakula cha kila mnyama wa mwituni, kwa sababu hapakuwa na mchungaji, nao wachungaji wangu hawakuwatafuta kondoo wangu; badala yake waliendelea kujilisha wenyewe, nao hawakuwalisha kondoo wangu,”’

  • Mathayo 9:36
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki