-
Marko 8:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Naye akauagiza umati uketi chini. Kisha akachukua ile mikate saba, akatoa shukrani, akaimega, na kuanza kuwapa wanafunzi wake waigawe, nao wakaugawia umati.+
-
-
Matendo 27:35Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
35 Baada ya kusema hivyo, akachukua mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote, akaumega, na kuanza kula.
-