34 Basi wakavuka na kufika kwenye nchi kavu huko Genesareti.+
35 Watu wa huko walipomtambua, wakaeneza habari katika maeneo yote yaliyokuwa karibu, basi watu wakamletea wagonjwa wote. 36 Nao wakamsihi awaruhusu waguse tu upindo wa vazi lake la nje,+ na wote waliougusa wakaponywa kabisa.