Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 20:26, 27
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • Marko 9:35
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 35 Basi akaketi na kuwaita wale 12 akawaambia: “Yeyote anayetaka kuwa wa kwanza, lazima awe wa mwisho kati ya wote na mhudumu wa wote.”+

  • Luka 9:48
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 48 akawaambia: “Yeyote anayempokea mtoto huyu kwa msingi wa jina langu ananipokea mimi pia, na yeyote anayenipokea, anampokea pia Yule aliyenituma.+ Kwa maana anayejiendesha kama mdogo zaidi kati yenu nyote ndiye mkuu.”+

  • Luka 22:26
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 26 Hata hivyo, ninyi hampaswi kuwa hivyo.+ Lakini yule aliye mkuu zaidi kati yenu anapaswa kuwa mdogo zaidi,+ na yule anayeongoza awe kama anayehudumu.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki