Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ruthu 4:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Nyumba yako na iwe kama nyumba ya Perezi,+ ambaye Tamari alimzalia Yuda, kupitia uzao ambao Yehova atakupa kutoka kwa mwanamke huyu kijana.”+

  • Ruthu 4:18, 19
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 Basi huu ndio ukoo wa* Perezi:+ Perezi alimzaa Hezroni;+ 19 Hezroni akamzaa Ramu; Ramu akamzaa Aminadabu;+

  • 1 Mambo ya Nyakati 2:4, 5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 Tamari,+ binti mkwe wa Yuda, alimzalia Yuda wana walioitwa Perezi+ na Zera. Yuda alikuwa na jumla ya wana watano.

      5 Wana wa Perezi walikuwa Hezroni na Hamuli.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki