Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 1:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  5 “Kabla sijakuumba tumboni nilikujua,*+

      Na kabla hujazaliwa* nilikutakasa.*+

      Nilikufanya uwe nabii kwa mataifa.”

  • Waroma 9:10-12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Lakini si wakati huo tu, bali pia Rebeka alipopata mimba ya mapacha kupitia yule mwanamume mmoja, Isaka babu yetu;+ 11 kwa maana walipokuwa bado hawajazaliwa wala kufanya jambo lolote jema au baya, ili kusudi la Mungu kuhusu kuchagua liendelee kutegemea, si matendo, bali Yule ambaye huita, 12 Rebeka aliambiwa: “Mkubwa atakuwa mtumwa wa mdogo.”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki