-
Mwanzo 4:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Pia Sethi akazaa mwana na kumpa jina Enoshi.+ Wakati huo watu walianza kuliitia jina la Yehova.
-
-
Mwanzo 5:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815. Naye akazaa wana na mabinti.
-