-
Mwanzo 5:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Hiki ndicho kitabu cha historia ya Adamu. Siku ambayo Mungu alimuumba Adamu, alimuumba kwa mfano wa Mungu.+
-
-
Mwanzo 5:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Baada ya kumzaa Sethi, Adamu aliishi miaka 800. Naye akazaa wana na mabinti.
-