Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 4:5-7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Ndipo Ibilisi akampeleka kwenye lile jiji takatifu,+ akamsimamisha juu ya mnara* wa hekalu+ 6 na kumwambia: “Ikiwa wewe ni mwana wa Mungu, jitupe chini, kwa maana imeandikwa: ‘Atawaagiza malaika zake kukuhusu wewe,’ nao ‘Watakubeba mikononi mwao, ili mguu wako usigonge jiwe.’”+ 7 Yesu akamwambia: “Tena imeandikwa: ‘Usimjaribu Yehova* Mungu wako.’”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki