-
Mathayo 6:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Lakini unaposali, ingia ndani ya chumba chako faraghani, baada ya kufunga mlango wako, sali kwa Baba yako aliye mahali pa siri.+ Naye Baba yako anayetazama akiwa mahali pa siri atakulipa.
-