-
Zaburi 107:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Baadhi yao walikuwa wakiishi katika giza zito sana,
Wafungwa walioteseka na kufungwa kwa vyuma.
-
-
Isaya 9:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Watu waliokuwa wakitembea gizani
Wameona nuru kuu.
Na wale wanaokaa katika nchi ya kivuli kizito,
Nuru imewaangazia.+
-