Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 24:4, 5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 Yesu akawajibu: “Jihadharini ili mtu yeyote asiwapotoshe,+ 5 kwa maana wengi watakuja kwa msingi wa jina langu, wakisema, ‘Mimi ndiye Kristo,’ nao watawapotosha wengi.+

  • Marko 13:5, 6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Basi Yesu akaanza kuwaambia: “Jihadharini ili mtu yeyote asiwapotoshe.+ 6 Wengi watakuja kwa msingi wa jina langu, wakisema, ‘Mimi ndiye,’ nao watawapotosha wengi.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki