-
Isaya 5:11, 12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Ole wao wanaoamka asubuhi na mapema ili wanywe kileo,+
Wanaokawia hadi giza linapoingia jioni mpaka divai inapowawasha!
12 Wana kinubi na kinanda,
Tari, filimbi, na divai katika karamu zao;
Lakini hawafikirii utendaji wa Yehova,
Wala hawaioni kazi ya mikono yake.
-