-
Mathayo 26:34Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
34 Yesu akamwambia: “Kwa kweli ninakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”+
-
-
Marko 14:30Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
30 Ndipo Yesu akamwambia: “Kwa kweli ninakuambia kwamba leo, ndiyo, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu.”+
-
-
Luka 22:61Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
61 Ndipo Bwana akageuka, akamtazama Petro moja kwa moja, naye Petro akakumbuka maneno ambayo Bwana alimwambia: “Kabla jogoo hajawika leo, utanikana mara tatu.”+
-