-
Mathayo 13:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Na unabii wa Isaya unatimia kwao unaosema: ‘Kwa kweli mtasikia lakini hamtaelewa, nanyi kwa kweli mtatazama lakini hamtaona.+
-
-
Matendo 28:27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
27 Kwa maana mioyo ya watu hawa imekuwa migumu, nao wamesikia kwa masikio yao bila kuitikia, nao wamefunga macho yao, ili wasione kamwe kwa macho yao na kusikia kwa masikio yao na kuelewa kwa mioyo yao, nao wageuke nami niwaponye.”’+
-