-
Yohana 16:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Kufikia sasa hamjaomba hata jambo moja katika jina langu. Ombeni nanyi mtapewa, ili shangwe yenu iwe kamili.
-
-
Yohana 17:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Lakini sasa ninakuja kwako, nami ninasema mambo haya ulimwenguni ili wapate kikamili shangwe niliyo nayo.+
-