Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 “‘Siku hiyo itakuwa ukumbusho kwenu, nanyi mnapaswa kuisherehekea ikiwa sherehe kwa Yehova katika vizazi vyenu vyote. Kwa kuwa ni sheria ya kudumu, mnapaswa kuisherehekea.

  • Hesabu 28:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 “Siku ya 14 ya mwezi wa kwanza, itakuwa Pasaka ya Yehova.+

  • Kumbukumbu la Torati 16:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 “Adhimisheni mwezi wa Abibu* na msherehekee Pasaka ya Yehova Mungu wenu,+ kwa sababu katika mwezi wa Abibu, Yehova Mungu wenu aliwatoa nchini Misri wakati wa usiku.+

  • Yohana 11:55
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 55 Sasa Pasaka+ ya Wayahudi ilikuwa karibu na watu wengi kutoka mashambani walipanda kwenda Yerusalemu kabla ya Pasaka ili wajitakase kisherehe.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki