-
Yohana 1:38Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
38 Ndipo Yesu akageuka na alipowaona wakimfuata, akawauliza: “Mnatafuta nini?” Wakamwambia: “Rabi (neno ambalo linapotafsiriwa linamaanisha, “Mwalimu”), unakaa wapi?”
-