-
1 Wakorintho 15:50Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
50 Lakini ninawaambia hivi, akina ndugu, kwamba nyama na damu haviwezi kuurithi Ufalme wa Mungu, wala uharibifu haurithi kutoweza kuharibika.
-