Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 6:38
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 38 kwa maana sikushuka kutoka mbinguni+ kufanya mapenzi yangu, bali mapenzi ya yule aliyenituma.+

  • Yohana 8:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Akaendelea kuwaambia: “Ninyi mnatoka katika makao ya chini; mimi ninatoka katika makao ya juu.+ Ninyi mnatoka katika ulimwengu huu; mimi sitoki katika ulimwengu huu.

  • Yohana 8:42
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 42 Yesu akawaambia: “Kama Mungu angekuwa Baba yenu, mngenipenda,+ kwa maana nilitoka kwa Mungu nami nipo hapa. Sikuja kwa uamuzi wangu mwenyewe, bali Yeye ndiye aliyenituma.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki