Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 21:8, 9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Kisha Yehova akamwambia Musa: “Tengeneza mfano wa nyoka mwenye sumu na uuweke juu ya nguzo. Mtu yeyote akiumwa na nyoka, ni lazima autazame mfano huo ili aendelee kuishi.” 9 Mara moja Musa akatengeneza nyoka wa shaba+ na kumweka juu ya nguzo,+ na mtu yeyote aliyeumwa na nyoka na kumtazama nyoka huyo wa shaba, aliendelea kuishi.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki