-
Yohana 8:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Nina mambo mengi ya kusema kuwahusu na mengi ya kuhukumu. Kwa hakika, Yule aliyenituma ni wa kweli, na mambo niliyoyasikia kutoka kwake ninayasema ulimwenguni.”+
-
-
Yohana 15:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Siwaiti ninyi tena watumwa, kwa sababu mtumwa hajui mambo ambayo bwana wake hufanya. Lakini nimewaita rafiki, kwa sababu nimewajulisha mambo yote niliyosikia kutoka kwa Baba yangu.
-