-
Matendo 15:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 Ndipo mitume na wazee, pamoja na kutaniko lote wakaamua kuwatuma wanaume waliochaguliwa kutoka miongoni mwao waende Antiokia pamoja na Paulo na Barnaba; waliwatuma Yuda aliyeitwa Barsaba, na Sila,+ wanaume waliokuwa wakiongoza kati ya akina ndugu.
-