Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 2:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Msizozane nao,* kwa sababu sitawapa sehemu yoyote ya nchi yao, hata mahali panapotoshea wayo wa mguu, kwa sababu nimempa Esau Mlima Seiri uwe miliki yake.+

  • Kumbukumbu la Torati 2:19
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 19 Mtakapofika karibu na Waamoni, msiwachokoze wala kuzozana nao, kwa sababu sitawapa ninyi nchi yoyote ya Waamoni ili mwimiliki, kwa kuwa nimewapa wazao wa Loti waimiliki.+

  • Kumbukumbu la Torati 32:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  8 Aliye Juu Zaidi alipoyapa mataifa urithi wao,+

      Alipowatenganisha wana wa Adamu,*+

      Aliweka mpaka wa mataifa+

      Kulingana na idadi ya wana wa Israeli.+

  • Zaburi 74:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Uliweka mipaka yote ya dunia;+

      Uliumba majira ya kiangazi na majira ya baridi kali.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki