Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 51:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  5 Tazama! Nilizaliwa nikiwa na hatia ya kosa,

      Na mama yangu alinichukua mimba katika dhambi.*+

  • Yohana 8:34
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 34 Yesu akawajibu: “Kwa kweli ninawaambia, kila mtu anayetenda dhambi ni mtumwa wa dhambi.+

  • Waroma 6:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Je, hamjui kwamba mkijitoa kwa yeyote kuwa watumwa watiifu, ninyi ni watumwa wa yule mnayemtii,+ ama watumwa wa dhambi+ inayotokeza kifo+ au wa utii unaotokeza uadilifu?

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki