-
Zaburi 69:22, 23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 Meza yao na iwe mtego kwao,
Na ufanisi wao uwe kitu cha kuwanasa.+
23 Acha macho yao yatiwe giza wasiweze kuona,
Na ufanye viuno vyao vitetemeke daima.
-