-
Kumbukumbu la Torati 10:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Lakini Yehova aliwakaribia na kudhihirisha upendo wake kwa mababu zenu tu, naye amewachagua ninyi, wazao wao,+ kutoka kati ya mataifa yote, kama mlivyo leo.
-