Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waroma 14:15, 16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Kwa maana ikiwa unamkasirisha ndugu yako kwa sababu ya chakula, wewe hutembei tena kulingana na upendo.+ Kwa chakula chako usimwangamize* yule ambaye Kristo alikufa kwa ajili yake.+ 16 Kwa hiyo, msiache mema mnayofanya yasemwe vibaya.

  • 1 Wakorintho 8:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Mnapowatendea dhambi ndugu zenu katika njia hii na kuiumiza dhamiri yao dhaifu,+ mnamtendea dhambi Kristo.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki