Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 9:1, 2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Lakini Sauli aliendelea kuwatisha wanafunzi wa Bwana akitaka kuwaua,+ basi akamwendea kuhani mkuu 2 na kumwomba barua za kwenda kwenye masinagogi huko Damasko, ili awakamate wanaume na wanawake walioifuata Ile Njia,+ na kuwaleta Yerusalemu wakiwa wamefungwa.

  • 1 Wakorintho 15:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Kwa maana mimi ni mdogo zaidi kati ya mitume, nami sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililitesa kutaniko la Mungu.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki