Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wakorintho 1:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Basi tukikabili majaribu,* ni kwa ajili ya faraja na wokovu wenu; na tukifarijiwa, ni kwa ajili ya faraja yenu inayotenda ili kuwasaidia mvumilie mateso yaleyale ambayo sisi pia tunateseka.

  • Waefeso 3:13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Basi ninawaomba msife moyo kwa sababu ya dhiki zangu kwa ajili yenu, kwa maana zinamaanisha utukufu kwenu.+

  • Wakolosai 1:24
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 24 Ninashangilia sasa katika mateso yangu kwa ajili yenu,+ nami ninakabili dhiki za Kristo ambazo bado hazimo katika mwili wangu kwa ajili ya mwili wake,+ ambao ni kutaniko.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki