Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waroma 4:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Basi, je, furaha hiyo huja tu kwa watu waliotahiriwa au pia kwa watu wasiotahiriwa?+ Kwa maana tunasema: “Imani ya Abrahamu ilihesabiwa kwake kuwa uadilifu.”+

  • Waroma 4:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Naye alipokea ishara+—yaani, kutahiriwa—kuwa muhuri wa* uadilifu kwa imani aliyokuwa nayo alipokuwa katika hali yake ya kutotahiriwa, ili awe baba ya wale wote walio na imani+ ingawa hawajatahiriwa, kusudi wahesabiwe kuwa waadilifu;

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki