-
Kutoka 19:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Ni lazima uwawekee watu mipaka kuzunguka mlima huu na uwaambie, ‘Jihadharini msipande mlimani wala kugusa ukingo wake. Yeyote atakayeugusa mlima huu hakika atauawa.
-