Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 14:29
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 Kisha Mlawi, ambaye hana fungu wala urithi kati yenu, mkaaji mgeni, yatima, na mjane aliye ndani ya majiji yenu atakuja kula na kushiba,+ ili Yehova Mungu wenu awabariki katika mambo yote mnayofanya.+

  • Kumbukumbu la Torati 27:19
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 19 “‘Amelaaniwa mtu anayepotosha haki+ ya mkaaji mgeni, yatima, au mjane.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

  • Zaburi 68:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  5 Baba wa mayatima na mlinzi* wa wajane+

      Ni Mungu katika makao yake matakatifu.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki