Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 7:13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Siku hiyohiyo, Noa aliingia ndani ya safina pamoja na wanawe, Shemu, Hamu, na Yafethi,+ pamoja na mke wake na wake watatu wa wanawe.+

  • Mwanzo 7:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Basi Mungu akafagilia mbali kila kiumbe hai kutoka duniani, kutia ndani, wanadamu, wanyama, wanyama wanaotambaa, na viumbe wanaoruka angani. Wote walifagiliwa mbali kutoka duniani;+ ni Noa peke yake na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina waliookoka.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki