-
1 Yohana 2:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Basi sasa, watoto wadogo, kaeni katika muungano na yeye, ili atakapofunuliwa tuwe na uhuru wa kusema+ bali tusiaibike wakati wa kuwapo kwake.
-