-
Yohana 14:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Siku hiyo mtajua kwamba nimo katika muungano pamoja na Baba yangu nanyi mumo katika muungano pamoja nami, nami nimo katika muungano pamoja nanyi.+
-